Swahili Page 1


IK ONKAAR
There is one Eternal Universal God.
Kuna Mungu mmoja wa milele kote duniani.

ਸਤਿ ਨਾਮੁ
SAT NAAM
His name is ‘Of Eternal Existence’.
Jina lake linaishi milele

ਕਰਤਾ ਪੁਰਖੁ
KARTA PURAKH
He is the creator of everything and is all-pervading.
Mungu ni muumba wa vyote, na yuko kila mahali

ਨਿਰਭਉ
NIRBHAO
He is not afraid of anybody or anything. (Nobody is more powerful than Him).
Mungu hamuogopi yeyote kwa kuwa hakuna mwenye nguvu kumshinda.

ਨਿਰਵੈਰੁ
NIRVAIR
He does not discriminate against anybody.
Mungu hana ubaguzi

ਅਕਾਲ ਮੂਰਤਿ
AKAAL MOORAT
His existence is not affected by time.
Mungu yuko hai kila wakati, usiku na mchana.

ਅਜੂਨੀ
AJOONI
He is beyond the cycle of birth and death.
Mungu hawezi akafa wala kuzaliwa tena.

ਸੈਭੰ
saibhaN
He is self-illuminated and is self-existent.
Mungu hakuumbwa, na amejaa nuru.

ਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ॥
GUR PARSAAD
He can be realized only by Guru’s Grace.
Anaweza tu kutambulika kupitia kwa neema yake Guru.

॥ ਜਪੁ ॥
jap.
Chant And Meditate:
Imba na kutafari

ਆਦਿ ਸਚੁ ਜੁਗਾਦਿ ਸਚੁ ॥
sach jugaad sach.
He has existed from the beginning (from before time) and since the beginning of the ages.
Amekuwepo tangu mwanzoni mwa nyakati.

ਹੈ ਭੀ ਸਚੁ ਨਾਨਕ ਹੋਸੀ ਭੀ ਸਚੁ ॥੧॥
hai bhee sach naanak hosee bhee sach. ||1||
He is True in the present (does exist now). O’ Nanak, He will also be True (exist) in the future. ||1||
Mungu ni wa kweli leo, na atabakia kuwa wakweli katika siku za baadae.

Stanza 1
This stanza at first, relates to the various methods that were in use at the time, aiming to accomplish the life’s goal of achieving union with God. Then it declares that the Guru’s method to achieve the union is of honoring and accepting God’s Will in totality.

Ubeti wa Kwanza
Ubeti huu una uhusiano na mbinu mbalimbali zilizotumika wakati huo. Lengo kuu lilikua kuafikia muungano na Mungu. Ubeti huu unasema kuwa mbinu ya Guru kuafikia muungano ni kuheshimu na kukubali matakwa ya Mungu kikamilifu.

ਸੋਚੈ ਸੋਚਿ ਨ ਹੋਵਈ ਜੇ ਸੋਚੀ ਲਖ ਵਾਰ ॥
sochai soch na hova-ee jay sochee lakh vaar.
External cleansing (Bathing at places of pilgrimage) does not achieve purity of mind even if one does such cleansing millions of times.
Kutakasa maeneo ya hija haiafikii usafi wa akili, hata kama itafanywa mara zaidi ya milioni moja.

ਚੁਪੈ ਚੁਪ ਨ ਹੋਵਈ ਜੇ ਲਾਇ ਰਹਾ ਲਿਵ ਤਾਰ ॥
chupai chup na hova-ee jay laa-ay rahaa liv taar.
Mind does not stop wandering by staying silent even by constant (ritualistic) meditation.
Akili haiachi kuzurura kwa kubakia kimya hata kwa njia ya kutafakari kila mara.

ਭੁਖਿਆ ਭੁਖ ਨ ਉਤਰੀ ਜੇ ਬੰਨਾ ਪੁਰੀਆ ਭਾਰ ॥
bhukhi-aa bhukh na utree jay bannaa puree-aa bhaar.
Even if one piles up material possessions of all the planets, the greed of the mind is not appeased.
Hata mtu awe na mali kutoka sayari zote, akili haiachi kuwa na tamaa.

ਸਹਸ ਸਿਆਣਪਾ ਲਖ ਹੋਹਿ ਤ ਇਕ ਨ ਚਲੈ ਨਾਲਿ ॥
sahas si-aanpaa lakh hohi ta ik na chalai naal.
One may possess all the wisdom but in the end, it will be of no avail.
Mtu anaweza kuwa na busara lakini mwishowe ikawa ni bure.

ਕਿਵ ਸਚਿਆਰਾ ਹੋਈਐ ਕਿਵ ਕੂੜੈ ਤੁਟੈ ਪਾਲਿ ॥
kiv sachi-aaraa ho-ee-ai kiv koorhai tutai paal.
Then, how can one achieve eternal bliss and how can the erroneous belief system be shattered?
Basi mtu anaweza kuafikia vipi uzima wa milele, na ni vipi mfumo wa imani isiyosahihi unaweza kusimamishwa?

ਹੁਕਮਿ ਰਜਾਈ ਚਲਣਾ ਨਾਨਕ ਲਿਖਿਆ ਨਾਲਿ ॥੧॥
hukam rajaa-ee chalnaa naanak likhi-aa naal. ||1||
O’ Nanak, this veil of falsehood can be removed only by living according to God’s Command as has been willed for you by Him. ||1|
O’ Nanak, pazia ya uwongo inaweza tu kutolewa kwa kuishi kulingana na amri ya Mungu, kama vile tu anavyotarajia kutoka kwako.

Stanza 2
This stanza states that everything happens according to His Will. As we honor and accept this fact, ego, the root cause of all suffering vanishes.

Ubeti wa Pili
Ubeti huu unasemakuwa kila jambo hutendeka kulingana na matakwa yake. Tunapoheshimu na kuukubali ukweli huu pamoja na ego, chanzo cha matatizo yote huondoka.

ਹੁਕਮੀ ਹੋਵਨਿ ਆਕਾਰ ਹੁਕਮੁ ਨ ਕਹਿਆ ਜਾਈ ॥
hukmee hovan aakaar hukam na kahi-aa jaa-ee.
Everything takes its form by God’s Will but His Will cannot be stated.
Kila kitu huwa na mfumo kulingana na matakwa ya Mungu. Matakwa ya Mungu haiwezi kutajwa.

ਹੁਕਮੀ ਹੋਵਨਿ ਜੀਅ ਹੁਕਮਿ ਮਿਲੈ ਵਡਿਆਈ ॥
hukmee hovan jee-a hukam milai vadi-aa-ee.
All souls are created by His Will. All glory and greatness is also obtained by His Will.
Nafsi zote zimeumbwa kwa matakwa yake. Utukufu na ukubwa hupatikana kwa matakwa yake.

ਹੁਕਮੀ ਉਤਮੁ ਨੀਚੁ ਹੁਕਮਿ ਲਿਖਿ ਦੁਖ ਸੁਖ ਪਾਈਅਹਿ ॥
hukmee utam neech hukam likh dukh sukh paa-ee-ah.
Some are virtuous and some wicked, all by His Will. Pain or pleasure is also received as per His Will. (based on previous deeds)
Kuna njema na mbovu, yote ni kwa matakwa yake. Maumivu au furaha hupatikana kulingana na matakwa yake, kwa kuzingatia matendo yaliyopita.

ਇਕਨਾ ਹੁਕਮੀ ਬਖਸੀਸ ਇਕਿ ਹੁਕਮੀ ਸਦਾ ਭਵਾਈਅਹਿ ॥
iknaa hukmee bakhsees ik hukmee sadaa bhavaa-ee-ah.
By His Will, some are blessed and brought under His grace; while others go astray.
Kwa matakwa yake, watu wengine hubarikiwa na kuwekwa chini ya neema yake,huku wengine wakipotea.

ਹੁਕਮੈ ਅੰਦਰਿ ਸਭੁ ਕੋ ਬਾਹਰਿ ਹੁਕਮ ਨ ਕੋਇ ॥
hukmai andar sabh ko baahar hukam na ko-ay.
Everybody is subject to His Will; Nobody can escape it.
Kila mwanadamu anatii matakwa yake; hakuna anayeweza kuepuka hilo.

ਨਾਨਕ ਹੁਕਮੈ ਜੇ ਬੁਝੈ ਤ ਹਉਮੈ ਕਹੈ ਨ ਕੋਇ ॥੨॥
naanak hukmai jay bujhai ta ha-umai kahai na ko-ay. ||2||
O’ Nanak, one who comprehends His Will, will not behave egotistically.
O’ Nanak, yule ambaye anaelewa matakwa yake hataweza kuwa na ubinafsi.

Stanza 3
Those who love God, praise Him by complementing His various qualities. But His virtues being endless and beyond human comprehension, nobody can praise Him entirely.

Ubeti wa Tatu
Wale wanaompenda Mungu humsifu kwa kuongezea sifa zake mbalimbali. Lakini kwa kuwa wema wake hauna kikomo, na zaidi ya ufahamu wa mwanadamu, hakuna yeyote anayeweza kumsifu kikamilifu.

ਗਾਵੈ ਕੋ ਤਾਣੁ ਹੋਵੈ ਕਿਸੈ ਤਾਣੁ ॥
gaavai ko taan hovai kisai taan.
Only the one blessed with Godly spiritual powers can truly praise the supremacy of the Almighty.
Yule mwenye amebarikiwa na nguvu za kiroho kutoka kwa Mungu ndiye anayeweza kusifu ukuu wa mwenye nguvu.

ਗਾਵੈ ਕੋ ਦਾਤਿ ਜਾਣੈ ਨੀਸਾਣੁ ॥
gaavai ko daat jaanai neesaan.
Some sing of his Glory through Gifts received and recognize them as a sign of His grace.
Wengine huimba juu ya utukufu wake kupitia kwa zawadi zake zilizopokelewa na kuzitambua kama ishara ya neema yake.

ਗਾਵੈ ਕੋ ਗੁਣ ਵਡਿਆਈਆ ਚਾਰ ॥
gaavai ko gun vadi-aa-ee-aa chaar.
Some sing of His greatness and His noble virtues.
Wengine huimba kuhusu ukuu na wema wake.

ਗਾਵੈ ਕੋ ਵਿਦਿਆ ਵਿਖਮੁ ਵੀਚਾਰੁ ॥
gaavai ko vidi-aa vikham veechaar.
Some sing of Him after realizing Him through difficult philosophical studies.
Wengine huimba kumhusu baada ya kumtambua kwa kusoma masomo ya filosofia.

ਗਾਵੈ ਕੋ ਸਾਜਿ ਕਰੇ ਤਨੁ ਖੇਹ ॥
gaavai ko saaj karay tan khayh.
Some sing of His power to create and destroy.
Wengine huimba kuhusu nguvu zake za kuumba na kuharibu.

ਗਾਵੈ ਕੋ ਜੀਅ ਲੈ ਫਿਰਿ ਦੇਹ ॥
gaavai ko jee-a lai fir dayh.
Some sing that He takes life away and then restores it.
Wengine huimba kuwa huyachukua maisha na kuyarejesha tena.

ਗਾਵੈ ਕੋ ਜਾਪੈ ਦਿਸੈ ਦੂਰਿ ॥
gaavai ko jaapai disai door.
Some sing that He appears far away.
Wengine huimba kuwa yeye huonekana mbali sana.

error: Content is protected !!